![]() |
Mh. Waziri Mkuu (Nasibu Kanduru) wa Serikali ya Wanafunzi Mzumbe (MUSO) akifungua Bunge la kwanza la mwaka wa masomo 2012/2013 |
![]() |
Wabunge wa Serikali ya wanafunzi Mzumbe (MUSO) wakifuatilia hoja mbalimbali zilizotolewa ndani ya Bunge hilo. |
![]() |
Mh. Naibu Spika (Christina Nelson) wa Bunge la Serikali ya wanafunzi Mzumbe (MUSO) |
![]() |
Waziri wa fedha akiwasilisha hoja ya mswaada wa fedha kwa mara ya kwanza.
Hoja hiyo itawasilishwa tena katika Bunge hilo katika Bunge lijalo baada ya kusomwa kwa mara ya kwanza na kuafikiwa na Wabunge pamoja na Serikali ijadiliwe katika Bunge lijalo ili wapate muda kuupitia muswaada huo, kuutafakari na kuuelewa na kujiridhisha ili kupitisha muswaada wanaoufahamu.
|
No comments:
Post a Comment